Nusu fainali ya pili michuano ya EURO imemalizika leo pale walipokutana miamba miwili ya soka barani Ulaya yaani Mabingwa wa kombe la Dunia Germany dhidi ya wenyeji wa michuano ya Euro Ufaransa, huku mchezo huo kumalika kwa France Kupata magoli mawili na Gremany bila(Germany 0-2 France). Magoli ya Ufaransa yalitupiwa kambani na Mchezaji Antoine Griezman mnamo dakika ya 45 kwa penalt na dakika 72.
Kwa matokeo hayo yanaifanya team ya Ufaransa kutinga fainali ya michuano hiyo ambapo watakutana na Ureno ambao nao walikata ticket hiyo baada ya Kuibamiza Wales bao Mbili kwa nunge. Tizama picha za matukio ya mchezo huo. Bastian akionyweshwa kadi ya manjano baada ya kufanya madhambi.
08 July, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment