Nikusalimu mpenzi msomaji wa Blog hii, Pole na mahangaiko ya hapa na pale ya kuusaka Ugali na Mwanga wa Chemli. Leo tuweke maswala ya Muziki pembeni na Tuongee kidogo maswala ya Mahusiano/Mapenzi. Kwa muda mrefu sasa nmekuwa nikiona mahusiano ya wengi tulio vijana yakivunjika mapemaaa mno baada ya kuanzishwa kwake, na mengine hudumu kwa muda fulani lakini nayo huanguka.
Zipo sababu nyingi ambazo hufanya Mahusiano hayo kuvunjika katika wakati ule wa awali ama baada ya muda mfupi baada ya kuanzishwa kwa mahusiano hayo. Kwa leo sinto zungumzia sababu hizo, bali nitakupa Njia 25 ambazso zitafanya kudumisha mahusiano yako...
Pitia Picha moja baada ya nyingine kuona nini kilichomo katika picha hizo:
Umeona Vitu hivyo? japo ni vitu vidogo lakini vina uhai mkubwa wa Masiano yenu. Kwa leo niiishie hapo mpaka tutakapo onana tena hapa hapa mtokambali. Usiache kuniachia Coment/ maoni yako hapa.
No comments:
Post a Comment