02 June, 2016

Download Music: Jay Moe – Pesa ya Madafu

 

Wakuitwa Juma Mchopanga a.k.a Jay-Moe, moja kati ya wakongwe wa hii bongo flava na safari hii katuletea ngoma inayo kwenda kwa jina la Pesa ya Madafu ngoma iliyo tengenezwa katika studio za Bongo Records , chini ya producer Daz Naledge. Bofya HAPA kuupata wimbo huo. Kumbuka kuwashirikisha wana kitaa/


No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...