New Music: G Nako, Quick Rocka na Jux "HAPO"

 

Baada ya kuachilia Video ya Ngoma hii Usiku wa May 28 2016, Leo ndio siku ambayo ngoma ya "Hapo" imeachiliwa. Humu ndani yupo G-Nako, mkali Jux, na Quick Rocka. Download ngoma hiyo kwa Kubonyeza HAPA. Usisahau kushirikisha wana Kitaa/

SIKILIZA

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.