Download New Music: Rich Mavoko – Ibaki Story

 

June 2,2016 ni tarehe ambayo wengi walikua wakijiuliza ni nini kitatokea baada ya tarehe hiyo kufanyiwa promo katika sehemu mbali mbali,  mwali katolewa nje na Hatimae Rich Mavoko kuwa Chini ya Lebal ya WCB na hii ndio ngoma ya kwanza chini ya WCB inayokwenda kwa jina la "Ibaki Story". Bofya HAPA kuudownload wimbo huo. Kumbuka kushare ngoma hii na wana kitaa.

 Sikiliza:

Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.