Video: Adele – Send My Love (To Your New Lover)

 Mwana muziki Adele katuletea tena Video mpya inayo kwenda kwa jina la “Send My Love (To Your New Lover)” na hii ni baada ya kufanya Vyema katika Bilboard Music. Ni video nzuri, kwa maana kwamba ni simple Video ila inavutia. Itizame Hapa leo.
Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.