Download : Young Killer Ft. Mr Blue - Kumekucha


   

Ni young killer tena akiwa na Mr Blue wanatuletea ngoma inayolwenda kwa jina la Kumekucha. Hii ni ngoma mpya ambayo imemrudisha Young killer katika level zake baana ya kukaa kimya kidogo.

Isikilize hapa/ download kisha share na Washkaji kitaaa.

Bofya hapa Kuupata wimbo huo.Comments

Popular posts from this blog

Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo

Furaha ya kweli inaletwa na wewe mwenyewe.