Hakimu 5, ni miongoni mwa wasanii waliovuma kipindi cha nyuma na kupotea ghafla katika game la Bongo Flava, na leo katuletea ngoma inayo kwenda kwa jina la Mawenge. Audio hii imetengenezwa na Producer T-Touch. Bofya HAPA kuupata wimbo huo na sikiliza nyimbo hiyo hapo chini. Kumbuka kashare na wana kitaa/

No comments:
Post a Comment