Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
25 May, 2016
Music: Raymond – Natafuta Kiki
Kutoka WCB wanatuletea Natafuta Kikingoma iliyo imbwa na Rymond, ngoma hii imetoka baada ya Ngoma ya msanii huyo iliyo julikana kwa jina la Kwetu kufanya poa zaidi katika Game la Bongo flava. Ngoma hii imetengenezwa katika studio za Wasafi Records. Download ngoma hiyo kwa Kubofya HAPA na unaweza kuisikiliza ngoma hiyo hapo chini. Usisaha kushare ngoma hiyo na Wana kitaa/
No comments:
Post a Comment