28 April, 2016

Music: Madee – Migulu Pande


Kutokea Tip-Top connection Madee katoa ngoma yake mpya  leo inayokwenda kwa jina la “Migulu Pande” ambayo imetengenezwa na Producer Tspice kutoka Nigeria na Tuddy Thomasi kutoka ngoma record.
Jipakulie ngoma hiyo kwa kubofya HAPA.PITIA NA HIZI KUTOKA MTOKAMBALI 
1.Oliver Mtukudzi picha Halisi ya Muziki wa Kiafrica.
2. UNALIFAHAMU KUNDI LA UB40?.
3. Wafahamu madancer Albir Rojas na Sara Lopez wakali wa 'Kizomba dance

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...