Barcelona imetinga hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya baada ya kuifumua Arsenal 3-1 usiku wa jana.
Mabao
ya Barcelona yalifungwa na wachezaji Neymar da Silva Santos Luis Suarez
na Lionel Messi dk 88 akihitimisha idadi ya mabao hayo.Na goli pekee la kufutia machozi la Arsenal limefungwa na Mohamed Elneny dk ya 51 kipindi cha pili.
Barcelona imeifunga Arsena jumla ya mabao 5-1 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa dimba la Emirate.
Katika mwingine Buyen munich imechomoza na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Juventus ya Italia.
Mbao ya Buyen yamefungwa na Lewandowski , Thomas Muller , Thiago Alcantara na kingsley Coman,huku magoli ya Juventus ya kifungwa na Paul Pogba, na Juan Cuadrado.
Kwa matokeo hayo Buyen imeshinda jumla ya bao 6-4 kufuatia sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa awali.
No comments:
Post a Comment