Wanawake wajawazito wameshauriwa
kutosafiri kwenda Brazil kushuhudia mashindano ya Olimpiki mwaka 2016
kwa sababu ya hatari ya virusi vya Zika.
Serikali ya Brazil
imesema kuwa hawashauri wanawake wajawazito kwenda kwenye michezo ya
Olimpiki jijini Rio De Jeneiro mwezi Agostihatua hii imekuja punde baada ya shirika la afya duniani WHO kutangaza hali ya dharura kutokana na madhara yatokanayo na virusi vya Zika.
No comments:
Post a Comment