Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
15 February, 2016
Barcelona jana ilifanikiwa kuinyuka Celta De Vigo kwa mabao 6-1+(VIDEO)
Timu ya soka ya Barcelona jana ilifanikiwa kuinyuka Celta De Vigo kwa
mabao 6-1, katika mwendelezo wa Ligi kuu ya Hispania kupitia mabao
ambayo yalifungwa na wachezaji Lionel Messi ,Luis Suárez mabao , Ivan
Rakitic pamoja na Neymar Neymar da Silva Santos Júnior, mchezaji Lionel
Messi akifunga Hat-trick katika mchezo huoMbali na mchezo huo michezo mingine Getafe iliambulia kichapo cha bao 1 –
0 kutoka kwa Atl Madrid, Real Sociedad wao walichomoza na ushindi wa
mabao 3 – 0 dhidi ya Granada CF,na Sevilla ilichapa bao 2 – 0 Las
Palmas.Kwa matokeo hayo Barcelona inaongoza ligi ikiwa na pointi 57,ikifuatiwa
na Altetico Madrid kwa pointi 54,nafasi ya tatu ni Real Madrid yenye
pointi 53,Villarreal ipo nafasi ya Nne na nafasi ya tano ni sevilla
ikiwa na pointi 40.
No comments:
Post a Comment