Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
16 February, 2016
'She Said Yes' hatimaye Eric Omondi amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa Italia
Siku ya Valentine imekuwa ya pekee kwa watu wengine na wengine inawezekana ikawa ni siku ya maumivu, Lakini kwa mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya yeye imekuwa ya pekee baada ya kumvisha pete ya uchumba Chantal Grazioli aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu.Akiiba maujanja kutoka kwenye baadhi ya filamu zakimahaba, Erick Omondi alionekana
kwenye fukwe ya bahari nakuamua kutupa nanga kumtaka mpenzi wake huyo
awe mchumba wake na baadaye ndoa. Hizi hapa picha.
No comments:
Post a Comment