Michuano ya klabu bingwa barani
Ulaya (Uefa champion Ligi) itaendelea tena siku ya Jumanne Usiku kwa
Mechi 2 za kwanza za Raundi ya Mtoano ya Timu 16.
Benfica ya ya
Ureno itakuwa nyumbani dhidi ya Zenit Saint Petersburg na Paris St
Germaine itakuwa Nyumbani Jijini Paris ufaransa kuwavaa Mabingwa wa
England Chelsea.Na Jumatano, zitapigwa mechi ambapo Klabu ya KAA Gent ya ubelgiji watakuwa Nyumbani kucheza na Wajerumani VfL Wolfsburg ,huku AS Roma ya Italy wakiwa nyumbani kupambana na Vigogo wa Spain Real Madrid.
No comments:
Post a Comment