17 January, 2016

Wimbo mpya wa Tyga Ft Chris Brown ‘Rumorz’

foaf-raidersNi mwaka sasa umepita toka tumesikia wimbo mpya kati ya Chris Brown na Tyga kutoka kwneye album yao ya Fan of a Fan: The Album. Tyga na Chris wamekutana tena kwenye collabo ya wimbo wa Tyga “Rumorz” kutoka kwneye mixtape ya Rawwest Nigga Alive.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...