18 January, 2016

RONALDO NA BENZEMA KILA MMOJA AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-1 (Video)

Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Sporting Gijon kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema mawili na Gareth Bale moja, wakati la Gijon limefungwa na Isma Lopez Gareth Bale got Real Madrid on their way to victory with this perfectly timed header at Sporting Gijon's near post after just seven minutesKarim Benzema, on his 300th appearance for the club, blows a kiss to the Real Madrid fans after getting his first goal of the afternoonBale celebrated in trademark fashion and certainly looked to be enjoying himself having scored four goals in two games for Real Tazama Video ya magoli yote hapo chini

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...