Wengi wakina dada mnvaa nyinyi tu
mnasahau waume zenu,ma boyfriends au hata fiance wenu.Msijipendezeshe
wenyewe jamani hakikisheni na Wa ubavu wenu nao wanatokelezea tu vizuri
kisasa japo wengine wabishi ila ni kujitahidi.
Outfit ideas mbalimbali za kwao wanazoweza kujaribu au kuwa inspired by wakaweza ku create stylish looks.
A dope look
ni muonekano ambao ni basic but alipo add hapo hicho ki sweta hapo akakifunga kishkaji kimependezesha muonekano.
For a stroll around town au lunch date kitaani kitu cha shorts na button up shirt
Add a blazer yani a blazer is a must have kwenye closet
accesories nazo zina upa muonekano wako nakshi kama kofia and nice sneakers
Kingine ni a floral shirt ni very fashionable
sweat shirts nazo ni a must have mbali na kuvaa juu ya shati waweza kufunga shingoni
floral shorts nazo kwa weekend zapendeza
Skinny jeans nazo jamani ni a must have can be worn na t shirt,button up shirt,blazers etc
No comments:
Post a Comment