19 January, 2016

J cole afunga ndoa kimya kimya


Wakati wa mahojiano na ya #MLKNow kupitia Complex yaliyofanyika kwa heshima ya siku ya Martin Luther King, Jr, J Cole alilazimika kuweka wazi hatua hiyo baada ya muongozaji wa filamu ya Creed, Ryan Coogler kumuuliza kwa bahati mbaya, “How did getting married change you?” Kitu ambacho hakujua ni kuwa ndoa hiyo ilikuwa bado haijatangazwa hadharani
“Oh, what is that?!” J cole alijibu kabla ya kulazimika kuweka wazi “That was like one thing to not do”
J cole amemuoa mpenzi wake wa siku nyingi, Melissa Heholt.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...