19 January, 2016

Video mpya ya Meek Mill ‘The Trillest’

nicki-meek-trillest
Rapa Meek Mill ambaye yupo katikati ya beef kubwa na rapa Drake na 50 Cent ametoa video ya wimbo mpya “The Trillest” kutoka kwenye album yake ya Dreams Worth More Than Money.
Pia kwa sasa Meek Mill anatangaza mixtape yake mpya ya Dream Chasers 4.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...