11 January, 2016

Diamond Platnumz katembeza fleva kwenye ngoma ya Akothee wa Kenya, hiki ni kipande tu- ‘Sweet Love’


Diamond Platnumz ni jina la staa wa Kitanzania anayefanya poa kulibeba jina la Tanzania kwenye vichwa vya habari vya kimataifa kupitia kazi ya muziki mzuri anaoufanya.
Kapata nafasi kuweka fleva ya sauti yake na mistari kwenye ngoma ya mrembo Akothee kutoka Kenya… mzigo wenyewe hauko mbali kuachiwa na hapa nina kionjo cha Sweet Love’ yao kwenye sekunde 21

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...