Kupitia mahojiano marefu aliyofanyiwa Chris Brown na jarida la Vibe, anasema “It’s not my job to be your role model; my job is to be your inspiration,There’s a difference,”akimaanisha sio kazi yake kuwa mfano mzuri kwako ila ni kazi yake kukushawishi kuwa bora,kuna tofauti“.
Chris Brown anasema “kila kitu kinaanza na wazo, mimi ni mtu kama mtu mwingine tu, sijali sana” Chris Brown pia anasema kuwa na mtoto kumembadilisha na kumefanya ajue majukumu yake.
No comments:
Post a Comment