11 January, 2016

Eminem & 50 Cent Ndio waliepaswa Kufanya ngoma ya “See You Again” aliofanya Wiz Khalifa?

Eminem and 50 Centsingle ya See You Again” aliofanya Wiz Khalifa ambayo ilitumika kama  Sound track kwenye Movie ya  Furious 7 ilikua na mafanikio makubwa sana mwaka 2015 ambapo iliweza kukaaa katika chati za Billboard Hot 100 kwa muda wa week 12 mfululizo.
   Inasemekana kuwa Wiz Khalifa hakuwa msanii alietakiwa kuwa katika kufanya ngoma hiyo ilotumika katika Furious 7. Kulingana na taarifa ambayo 50 Cent amekiambia Boomer & Carton radiokua yeye na mkali mwenzake Eminem ndio waliofutwa wa kwanza ili kuifanya ngoma hiyo lakini Eminem teyari alikua ana project nyingine hivyo ikawa gumu kufanya ngoma hiyo.
    “At the time [Eminem and I] had to make a decision between doing that and the song for Fast & Furious,” said 50. “And that [“See You Again”] was a huge success for Wiz Khalifa and them. [Eminem] decided to do Southpaw because he was invested in the project.”

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...