08 January, 2016

CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 RWANDA, HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetaja marefa wa kuchezesha Michuano ya Ubingwa wa Mataifa Afrika (CHAN) - na hakuna jina la Mtanzania hata mmoja.
Marefa 34 kutoka nchi 26 wameteuliwa kuchezesha fainai za michuano hiyo inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee, ambayo itafanyika nchini Rwanda Januari 16 hadi February 7.




ORODHA YA MAREFA WA CHAN 2016
#
JINA
NCHI ATOKAYO
1
Abid Charef Medhi
Algeria
2
Bernard Camille
Shelisheli
3
Denis Dembele
Ivory Coast
4
Ibrahim Nour El Din
Misri
5
Daniel Bennet
Afrika Kusini
6
Kordi Med Said
Tunisia
7
Mohamed H. El Fadil
Sudan
8
Nampiandraza Hamada
Madagascar
9
Keita Mahamadou
Mali
10
Ali Lemghaifry
Mauritania
11
Malang Diedhiou
Senegal
12
Zio Ephrem Juste
Burkina Faso
13
Davies Omweno
Kenya
14
Hudu Munyemana
Rwanda
15
Joseph Lamptey
Ghana
16
Thierry Nkurunziza
Burundi

MAREFA WASAIDIZI (Washika vibendera)
1
Mokrane Gourari
Algeria
2
Ndagijimana Theogene
Rwanda
3
Mark Ssonko
Uganda
4
Oamogestse Godisamang
Botswana
5
Noupue Nouegoue Elvis
Cameroon
6
Dina Bienvenu
Benin
7
Serigne Cheikh Toure
Senegal
8
Ahmed Hossam Taha
Misri
9
Tesfagiorghis Berhe
Eritrea
10
David Laryea
Ghana
11
Mamady Tere
Guinea
12
Sullaymane Sosseh
Gambia
13
Marwa Range
Kenya
14
Mahamadou Yahaya
Niger
15
Hensley Petrousse
Shelisheli
16
Khumalo M. Steven
Afrika Kusini
17
Theophile Vinga
Gabon
18
Nabina Blaise Sebutu
DRC

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...