Rapa 50 Centhajakubali kuizika beef yake na Rick Ross na sasa ameanza
kumtania kuhusu mauzo mabaya ya album mpya ya Ric Ross ‘Black Market’ .
50 Cent ambaye hivi karibuni ametoa mixtape ya The Kanan Tape amemtania Rozay kwa kusema album yake yake ya Black Market imeuza kopi 34,388 tu na kwama 15000 zimenunuliwa na Rick Ross mwenyewe.
No comments:
Post a Comment