Wimbo wa WizKid ‘Ojuelegba Remix’ watajwa
kuwa No 12 kwneye nyimbo bora za 2015 na jarida la Fader kwenye orodha
ya nyimbo 107 bora za mwaka 2015.
Wimbo huu wa ‘Ojuelegba Remix’ unasauti ya rapa Drake kutoka Marekani na Skepta kutoka Uingereza.
Jarida la Fader limeandika haya kuhusu wimbo huu.“Drake ameingia kwenye wimbo wa huyu msanii kutoka Nigeria na kuupa umaarufu zaidi Marekani, vesi ya Drake na Skepta zimeipendezesha zaidi “Ojuelegba” lakini ukweli ni kuwa wimbo huu tayari ulikuwa mkubwa sana Marekani na nchi zingine, wimbo unaujumbe mzuri wa shukurani na matumaini kuhusu nyumbani kwao”.
No comments:
Post a Comment