Nyota wa muziki wa Pop Adele ametawala tuzo za pili za BBC baada ya
kushinda tuzo ya msanii bora Uingereza na maonyesho bora ya moja kwa
moja. Mwanamuziki huyo hakuweza kuhudhuria sherehe hiyo,lakini alituma
ujumbe unaosema nimefurahi sana, nilitoa muziki wangu mpya hivi
karibuni.
Mwanamuziki wa Ireland Hozier alishinda tuzo ya wimbo bora wa mwaka 'Take me to Church'.
Taylor Swift pia alishinda tuzo ya msanii bora wa kimataifa huku
akikubali tuzo hiyo kupitia video akiwa nchini Australia. ''Mungu wangu
tuzo hii ni nzito sana.nafurahi sana kwa kunitumia kwa sababu lazima
imewagharimu''.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment