Zaidi ya watoto milioni 16 duniani, wamezaliwa katika mazingira ya kivita katika kipindi cha mwaka mmoja pekee.
Ripoti
mpya ya shirika la Umoja wa mataifa linaloshugulikia maswala ya watoto
UNICEF imesema kila baada ya sekunde mbili mtoto mmoja huzaliwa katikati
ya mizozo ya kivita.Ripoti hiyo inasema pia katika maeneo hayo hakuna huduma za afya.
Idadi ya watu wasio na makao imeongezeka maradufu tangu vita vya pili vya dunia.
No comments:
Post a Comment