Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara inaendelea tena leo kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja vya miji sita tofauti ikishuhudia timu 12 zikishuka uwanjani kusaka pointi tatu muhi kwa ajili ya kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi hiyo ambayo imeanza kushika kasi tena baada ya kusimama kwa muda.
Hii hapa ni ratiba kamili ya michezo yote itakayopigwa December 19, 2015 kwenye viwanja sita vya mikoa tofauti;
Yanga vs Stand United (Uwanja wa Taifa-Dar es Salaam)
Mwadui FC vs Ndanda FC (Mwadui Complex-Shinyanga)
Kagera Sugar vs African Sports (Ali Hassan Mwinyi-Tabora)
Tanzania Prisons vs Mtibwa Sugar (Sokoine Stadium-Mbeya)
Toto Africans vs Simba SC (CCM Kirumba-Mwanza)
Majimaji FC vs Azam FC (Majimaji Stadium-Ruvuma)
Azam TV ndiyo sehemu pekee ya kushuhudia
ligi kuu Tanzania bara live. Jiunge na Azam TV ushuhudie mastaa wa VPL,
magoli pamoja na uchambuzi wa kina.
No comments:
Post a Comment