Msanii wa Mavin Records “Korede Bello” ametajwa kuwa msanii wa kwanza nchini Nigeria kuwa balozi wa kwanza wa vijana kwa Polisi.
Mwaswali mengi yameibuka kuhusu yeye kuchaguliwa kupewa nafasi hio na kazi ambayo atakuwa akifanya, Kuna uvumi kuwa atakuwa akisambaza ujumbe wa amani na utulivu kwa vijana, kupunguza uhalifu na vibaka mtaani.
Korede Bello amehit hivi karibuni na wimbo wake wa Godwin na anamiaka miwili kwenye sanaa Nigeria.
No comments:
Post a Comment