04 December, 2015

Bobby Shmurda akosa dhamana ikiwa ni jaribio la sita toka ameingia jela December mwaka jana.

schmurda
Rapa Bobby Shmurda amekosa dhamana tena ikiwa ni jaribio la sita toka ameingia jela December mwaka jana.
Mwanzoni mwa wiki hii palikuwa na taarifa kuwa mawakili wa Bobby walitayarisha sababu “bulletproof” zakumpa dhamana rapa huyu ambaye dhamana yake ni dola milioni 2.
Bobby Shmurda alikuwa jela toka december mwaka jana akikabiliwa na kesi ya kukutwa na silaha kinyume cha sheria, kupanga mauwaji na kukamatwa na dawa za kuleya.
Bobby Shmurda atakuwa mahakamani tena Jan 11 2016

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...