04 December, 2015

Rick Ross asema afurahishwi na mambo ambayo Birdman anamfanyia Lil wayne


Rick Ross ni mmoja ya watu ambao hawafurahishwi na mambo anayokumbana nayo Lil wayne chini ya uongozi wake wa Cash Money.

Akifanya mahojiano na kipindi cha The Breakfast Club, Rick Ross amefunguka kuhusiana na wimbo wake wa ‘Colour Money’ ambao unamashairi ambayo yametafsiliwa kama diss ambayo inaweza kuwa imekwenda kwa Lil wayne au Birdman ,  mashairi hayo yanayosema
“So run Forest got some shooters and they dying too / I got more money than that pussy that you’re signed to,”
Alipoulizwa kuhusiana na mistari hiyo iwapo aliirenga kwa Lil wayne au Birdaman, Rick Ross alisema Lil wayne ni rafiki yake na alikuwa nae siku chache zilizopita hivyo kuonesha moja moja kuwa maneno hayo yalimrenga Birdman
“Weezy my homie. I was just with Weezy the other night in the club, he was just on the remix with me. J Prince that’s my big homie.” Alisema Rick Ross
Pia aliongeza kuwa hana uhusiano wowote Birdman na hafurahishwi na vitendo anamvyomfanyia Lil wayne
“Right now, really me just seeing what Wayne going through as an artist, me idolizing Birdman at a time, me looking up to Lil Wayne, Wayne being the first artist making to make so many feats not just as an artist but an artist coming through the South, that’s something I took personal. For me to see the way things are transpiring, I can’t respect that, and I don’t respect that.” Alifunguka Rick Ross aka Young Renzel
Miezi michache Lil wayne alijitokeza na kufunguka kuwa uongozi wake ulikua haumtendei haki na alionesha nia ya kuondoka kwenye label hiyo ambayo ipo chini ya Birdman.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...