Daphne Joy ndilo jina analojulikana, lakini pia unaweza kumuita mama wa mtoto wa 50 Cent. Ni mzuri ukimuangalia lakini anavutia zaidi kwa sehemu zake za nyuma. Daphne Joy amempatia 50 Cent mtoto ambaye kwasasa anamiaka 3. Pia mama huyu kwasasa kunatetesi kuwa anamahusiano na mwanamuziki Jason Derulo.Hizi hapapicha zake.












No comments:
Post a Comment