Mwanamitindo mkubwa wa Tanzania, Millen Magese ataonekana kwenye video mpya ya Diamond Platnumz na Mafikizolo.
Millen anaweza akawa mmoja ya watu wataoonekana kwenye video hiyo, kupitia Instagram muimbaji wa kundi la Mafikizolo, Nhlanhla Nciza ameweka picha akiwa na mrembo huyo wakati wa kushoot video
“On set for the Mafikizolo @diamondplatnumz @djmaphorisa music video shoot, surrounded by my beautiful honeys Tanzania’s international supermodel @ladivamillen @blackbarbiellish and makeup boss @nthatomashishi East meets south #OneContinentOneLove #EpicnessAllAround”
Video ya wimbo huo unaoitwa ‘Colours of Africa’ imekamilika na imeshootiwa Afrika kusini.
No comments:
Post a Comment