09 December, 2015

Mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua kuhusu Raheem Sterling baada ya kufikisha miaka 21

dfs
Jana December 8 ni siku ya kuzaliwa ya Raheem Sterling ambapo amefikisha miaka 21 na kutupia goli mbili kwenye mechi ya UEFA.
Hivi hapa ni vitu vitano ambavyo ambavyo ni vizuri ukavijua kuhusu Raheem Sterling.
1)Mwaka 2015 kwenye utafiti wa kitaalamu kwenye Soccerex ulimthaminisha Raheem Sterling kuwa ni mchezaji mwenye umri mdogo na thamani kubwa kuliko wachezaji wote Ulaya. Thamani yake ilikua ni €49 million
2)Alizaliwa kwenye jiji la Kingstone Jamaica baadae alihamia na mama yake kwenye jiji la London akiwa na miaka 7 ambapo ndio maisha yake na soka yalianza kuelekea kwenye mafanikio.
3)Baba yake aliuliwa na watu wasiojulikana huko Kingstone Jamaica akiwa wakati Raheem akiwa na miaka 9.
4)12 July 2o15 alikamilisha makubaliano na Manchester City na kwa gharama ya £44 million akitokea Liverpool na kumfanya kuwa mchezaji namba 7 kwa kuhama kwa gharama kubwa.
5)8 August 2013 Raheem aliwai kukamatwa na polisi baada girlfriend wake wa zamani kutoa mashtaka ya kudhalilishwa lakini kesi hiyo ilipotezewa baada ya kutokua na ushahidi wa kutosha
Happy Belated Birthday kwa Raheem Sterling

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...