Diamond Plutnumz must be loving this
printed tee of his.Jana alipost a pic of this t shirt which he wore with
a ripped jeans shorts ,aka accessorize na sneakers nyeusi alizotinga na
socks za weed na kuu akatilia silver chains na Black shades kama
kawaida
First
time alikuwa spotted huko kwa SA kwenye Green carpet ya BET Experience
and he wore the t shirt with a black skinny jeans,same sneakers na
chains zake ,this time hakuvaa miwani only his cape.
Which look do you prefer the one with jeans shorts au hii alovaa na black jeans.
No comments:
Post a Comment