Msanii mkongwe wa nyimbo za dance kutoka Congo, Koffi Olomide ameonesha nia ya kufanya collabo na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.
Koffi Olomide ambaye ametua Tanzania jana ameiambia AyoTv kuwa angependa kufanya collabo na Diamond, akijibu swali alipoulizwa kama anampango wowote wa kufanya collabo na Diamond, Alisema
“Yes, i hope, i wish”
Koffi Olomide atafanya show usiku wa leo [December 8] Escape one kwenye tamasha la ‘Mkesha wa uhuru’
Source: AyoTv
No comments:
Post a Comment