Wawakilishi wa Tanzania wameshindwa kutamba kwenye Tuzo za The Future Awards Africa 2015 zilizofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Lagos, Nigeria.
Watanzania waliokuwa wanawaia Tuzo hizo ni pamoja na Vanessa Mdee kwenye kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Entertainment‘ambayo imechukuliwa na Olamide “Badoo” Ayodeji (Nigeria) , Witness Sanga kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Agriculture‘ imechukuliwa David Asiamah (Ghana) na Felix Richard Manyogote kipengele cha ‘The Future Awards Africa Prize in Community Action‘ imeenda kwa Kelvin Mutize (Zimbabwe).
Vanessa Mdee kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo hizo
Hii ndio orodha kamili ya washindi wa Tuzo hizo
- The Future Awards Africa Prize in Advocacy & Activism: Queen Baboloki (Botswana)
- The Future Awards Africa Prize in Education: Lily Kudzro (Ghana)
- The Future Awards Africa Prize in Enterprise Support: Olufunbi Falayi (Nigeria)
- The Future Awards Africa Prize in Community Action: Kelvin Mutize (Zimbabwe)
- The Future Awards Africa Prize in Technology: Rasheeda Mandeeya Yehuza (Ghana)
- The Future Awards Africa Prize in Entertainment: Olamide “Badoo” Ayodeji (Nigeria)
- The Future Awards Africa Prize in Agriculture: David Asiamah (Ghana)
- The Tony O. Elumelu Prize in Business: Samuel Malinga (Uganda)
- The Future Awards Africa Prize in Public Service: Emmanuel N. B. Flomo (Liberia)
- The Future Awards Africa Prize for Young Person of the Year: Philip Obaji Jnr. (Nigeria)
- Ford Foundation Prize for Youth Employment Category: Ukinebo Dare
No comments:
Post a Comment