11 August, 2015

Kilicho mkuta WEMA Instagram baada ya kuwakataza wanao tumia jina lake kumpost Lowasa au kumuunga mkono

Wema Sepetu avamiwa kwenye account yake ya Instagram baada ya kuwataka wanao jiita Team Wema au kama kuma kuna mtu anatumia jina lake kwenye account yake kuwa wasimuunge mkono Lowasa wala hata ku post picha yake.Wema ameandika haya "Wamoja havai Mbili...... Alafu nina msg to Team Wema ... Please my darlings... kama kuna mtu anatumia account yenye jina langu naomba msimpost Lowassa tafadhal... Kama unashindwa then badili tu jina... Dont use my name kumpost Lowassa .... Jamani Iam Not Team Lowassa.... Thank u... CCM tu hapa... TeamMagufuli to death ... Nilishasema mi ni CCM Damu Kabisa... Sidanganyiki... UKAWA mtaenda msojielewa...."

\
Hizi ni baadhi ya comment ambazo wamempinga Wema.
sam.kiriahapo umebugi mamaaa nshaku unfollow kwa uswechu wako mchoma sindano za matako we

nassy_junior6_chotta Nlikuheshim now mejua Y watu wengi hawakupend licha ya mazur ulofanya !!! Kumbe huna tofaut sana na wale wanaokuchukia bila sababu. Umesoma hujaelimika .... Pumbaaaaa kabisa wee sio wakuandika huu utumbooo ungekaa kimya tyuuu watu wakaelewa

newahosimkoko @wemasepetu Kioo cha jamii anatakiwa kuwa na busara na hekima, nikweli unapenda ccm but tumia busara kwenye matamshi na ukiwazacho, usitukane mamba kabla ujavuka mto, mbona Tanzania wasanii ni wengi, mbona wazuri na wajulikana sana na wanapendwa, najiuliza mbona wao wapo kimya, kila siku wema kwanini usi focus kwenye vitu vya msingi na kunyamaza watu waone matendo na si maneno, jua we ni mama wa baadae, je utawafundisha nini watoto wako ukiwa ufanyi busara kwenye kila utendalo

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...