Ni fahari iliyoje kuona wenzetu wakisifia na kuuimba uzuri wa TANZANIA, tena katika ardhi ya nchi yao?
Mrs Bernadette Mathias akiimba Wimbo wa Tanzania Nakupenda Kwa kiswahili akimpongeza Mhe. Dr Jakaya Mrisho kikwete Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Kutunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Chuo Kikuu cha Newcastle cha nchini Australia.
Tazama video hiii ya Mrs Bernadette Mathias Akiimba TANZANIA TANZANIA NAKUPENA
No comments:
Post a Comment