Ambapo Breezy aliongelea ukweli wa ku-perform BBHMM wimbo wa Rihanna wakati wa concert kwakusema wimbo huo wa Rihanna ni mzuri, Anamuheshimu Rihanna kama msanii. Prezzy akasema kuwa anauhakika pia hata Rihanna anasikiliza muziki wake.“That song is hot. I respect her as a artist you know. I’m pretty sure she plays my music.”
Chris Brown alieleza kuwa Rihanna ni rafiki yake kwakuwa wanajuana kwanzia akiwa na umri wa miaka 14 na hawatakuwa na tofauti. Pia anamapenzi na heshima juu yake.
“She is my friend. We’ve known each other since we were 14. We always gonna be cool. I got a lot of love and respect for her.”
No comments:
Post a Comment