19 August, 2015

Picha: Rapper Wiz Khalifa anamahusiano na msanii Rita Ora!

Mahusiano mapya. Wiz Khalifa ambaye bado hajawa wazi kwenye mahusiano ambayo anaweza kuwa kwa sasa kwanzia aachane na mke wake Amber Rose, Inawezekana akawa kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na Rita Ora.
Wiz Khalifa na kipenzi hicho Rita walianza kuonekana mara tu kwenye Teen Choice Awards ambazo zilifanyika jumapili iliyopita. Wawili hao walikuwa huru sana haswa wakati wakichukuliwa picha ya pamoja nyuma ya jukwaa.

Kwamujibu wa TMZ, wawili hao walionekana kutoka kama wapenzi na kwenda dinner usiku wa jumatatu nabaada ya hapo walitembelea studio ya muziki.








No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...