19 August, 2015

Amber Rose ahusishwa kwenye skendo ya kuwashawishi 'models' kwenye vitendo vya ukahaba

Akitumia njia za zamani za Amber Rose kama account yake ya Ustream na kampuni feki akiwashawishi models na kuwaambia kuwa anatafuta models chipukizi na kuwasaidia pia. Utaalamu wake umepitiliza hadi kutumia video za zamani za Amber kushawishi wadau kumfuata mawazo yake.

Mara tu watakapo kubaliana na kazi yake, basi atawaunganisha kwa matajiri kuwa na mahusiano nao ya kimapenzi na kuwaambia kuwa hiyo itawasaidia kukuza kipaji chapo na kufanikisha ndoto zao katika fani yao ya model.

Hataivyo mmoja wa models hao alitoa taarifa kwa shirika la polisi la Los Angeles LAPD kuhusiana na suala hilo.
Amber Rose hajaliongelea suala hilo hadi sasa.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...