Mahali pekee utakapopata habari za Burudani,Michezo,Urembo udaku na Kuelimika
21 August, 2015
Picha: Beyoncé, Nicki Minaj, Rihanna wakiwa ndani ya vazi la kuogelea, Yupi anapendeza zaidi?
Nikawaida kwa masataa kutupia vazi la kuogelea pale wanapokuwa kwenye
mapumziko yao baada ya shughuli za kuwaburudisha mashabiki na kuchukua
mwanja wao.
Hizi ni picha za baadhi ya mastaa wakiwa kwenye vazi la kuogelea, Tizama
alafu niachie comment hapo chini unadhani nani kapendeza kuliko wote?
No comments:
Post a Comment