Wengi tulijua ya kuwa
Ali Kiba ndiye msanii pekee wa
Tanzania ambaye atafanya ngoma na
Ne-Yo msanii wa Rn'B kutoka
Marekani ambaye yupo
Kenya kwenye
Coke-Studio Afrika.
Lakini usiku wa kuamkia leo,
Diamond Platnumz ameweka picha hii inayo muonyesha yeye mwenyewe akiwa studio na
Ne-Yo ambapo
ameweka caption yenye shukrani kwa msanii huyo kwa kukubali kufanya
ngoma pamoja ambayo inawezekana kupitia kwenye mikono ya
Sheddy Clever.
Diamond Platnumz ameandika haya "Thanks alot my Brother @neyo and
the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice
working with you...can't wait for the World to hear this Hit Song!!
@Diamondplatnumz ft @neyo ..... Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow
@Jullianl #AfricaTotheWorld"
No comments:
Post a Comment