21 August, 2015

Nahreel kufungua chuo cha kufundisha vijana muziki.

nahreelProducer na Msanii toka kundi la NavyKenzo Nahreal, anatarajia kufungua chuo cha muziki kitakachokuwa chini ya Studio yake ya The Industry. Chuo hiko kitatoa mafunzo ya utengenezaji wa midundo (beat) kufanya mixing, kuimba na kurap!

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...