Arsenal leo wamezindua jezi yao mpya ya tatu watakayotumia msimu wa 2015/2016.
Uzi huo uliotengenezwa na PUMA
utavaliwa na timu ya kwanza katika mechi za ugenini za makombe ikiwemo
Uefa Champions League ambayo itaanza mwezi Septemba.
Jezi hii ni ya mwisho kwa Arsenal kwa msimu huu, kwani mwezi Juni na Julai mwaka huu walianika jezi za nyumbani na ugenini.
Tazama picha ya jezi mpya ya Arsenal (juu na chini)
No comments:
Post a Comment