Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban
Ki-moon, amesema amemfukuza mkuu wa kulinda amani toka UN nchini Afrika
ya kati baada ya kutuhumiwa kuhusika na madai ya unyanyasaji wa watoto
kingono.
Bwana Ban amesema mwanadiplomasia wa Senegal Babacar Gaye angeachia
ngazi kama mkuu wa ujumbe. Ban aliongeza kuwa alipatwa na hasira na aibu
baada ya taarifa hizo za unyanyasaji wa ngono na ukandamizaji kwa
watoto.Uchunguzi pia unaendelea namna wanajeshi hao wa umoja wa mataifa kuhusika na madai ya unyanyasaji dhidi ya wanajeshi wa Ufaransa mwaka jana
No comments:
Post a Comment