19 August, 2015

Mfahamu mpenzi wa Ommy Dimpoza ambaye yeye humfananisha na Beyoncé

Mara kadhaa hivi nimekuwa nikipita kwenye account ya msanii Ommy Dimpoz na kukuta picha zake binafsi, Lakini ni mara chache huwa anweka picha ya msrembo huyu anaye onekana kufanana na mwanamuziki wa Marekani na mke wa rapper Jay Z. Okay hapa ninamzungumzia Zerthun mwenye muonekano wa Beyoncé.

Ambapo anaonekana kuwa ni mpenzi wa msanii Ommy Dimpoz kutokana na picha wanazo share kwenye account zao za Instagram. Mfano kwa Ommy nimekuta alishare maneno haya yakiambatana na picha ya mrembo huyu "�� #MrsPKP������❤️❤️" jana na siku za nyuma aliweka haya "Keep Calm I'm on FaceTime with Bae (beyonce)#WCE" hayo niya Ommy Dimpoz. Naye Zerthun aliweka picha ya Ommy nakuandika "Just way too fly! ❤️".

Hizi hapa chini ni picha za mrembo huyo, Zitazame kisha tupia maoni yako hapo chini kama ni kweli anafanana na Beyoncé.








No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...