Ronaldo akiwa Hispania anatangaza headphone mpya alikua amevalia mavazi yaliyomfanya kila atakaye kutana naye asiamini ni yeye huku akipita mitaani na mpira wake sambamba na mbwa huku akicheza.
Watu walikua wakipita na hata wengine ambao alikua akiwarushia mpira kuonekana kukasirishwa na alichofanya hadi pale alipoamua kuvua mavazi aliyovaa na watu kushikwa na mshangao walipoona ni yeye.
No comments:
Post a Comment